JINSI YA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI KUPITIA SIMU YA MKONONI
Asante kwa kutembelea tovuti hii ya maujanja zone na leo tutakwenda kuona jinsi ya kutengeneza kipato kwa muda mfupi kwa kutumia simu ya mkononi
Siku za hivi karibuni matumizi ya mitandao yamekua yakikua kwa kasi kubwa hasa kwa mitandao ya kijamii.
Lakini kupitia kukua hiko kwa kasi pia kumekua na njia njingi ambapo watu wamekua wanaweza kutengeneza pesa hata bila kuwa na ajira rasmi bali kwa kutumia tu vizuri mitandao,
Leo ntakwenda kukuonesha njia rahisi ya kutengeza mpaka $10(sh 22,000) au zaidi kwa kutumia tu simu yako ya mkononi.
Jinsi njia hiyo inavyo fanya kazi
Kama unavyo weza kuiona picha hapo juu unacho unachotakiwa kufanya tu ni kutengeneza akaunti na kuanza kupata kipato kwa kutumia simu yako ya mkononi
Pesa hizo utakua ukizipata kwa njia zifuatazo
- Kusoma ujumbe utakao upokea kwenye email yako
- Kwa kufanya survays (kujibu maswali) mbali mbali ambapo unaweza kutengeneza mpaka $4 (sh 8,800)
- Kwa kuwaalika watu kujiunga katika mtandao huo
- Ofa mbalimbali utakazopewa pewa

